GET /api/v0.1/hansard/entries/1476052/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476052,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476052/?format=api",
"text_counter": 441,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Mswada huu basi unataka kupunguza pesa kutoka shilingi bilioni 400.1 hadi shilingi bilioni 380. Mwaka uliopita, Bunge hili pamoja na Bunge la Kitaifa lilipitisha shilingi 385.45 bilioni kama pesa zilizotakikana kwenda katika kaunti zetu. Ni Masikitiko ya kwamba pesa zilizofika kwa kaunti zetu zilikuwa shilingi bilioni 355 pekee. Shilingi bilioni 30 hazikufika kwa kaunti zetu. Mpaka sasa, Serikali haijatoa maelezo ya kwa nini haikupeleka pesa hizo."
}