GET /api/v0.1/hansard/entries/1476053/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476053,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476053/?format=api",
"text_counter": 442,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Jambo lingine la kusikitisha ni kwamba kutoka mwezi wa sita mwaka huu, kaunti zetu hazijapata hata ndururu kutoka kwa Serikali kuu. Nimesikia Seneta aliyetangulia akisema kufikia mwisho wa mwezi watapelekewa shilingi bilioni 32. Pindi pesa zinapochelewa, serikali za kaunti zinapata shida ya kukithi mahitaji yao. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and Audio Services,Senate."
}