GET /api/v0.1/hansard/entries/1476054/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476054,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476054/?format=api",
    "text_counter": 443,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Inasikitisha kwamba jana daktari mmoja alijitoa uhai kwa sababu ya kucheleweshwa mishahara. Hivyo basi, hangeweza kukithi mahitaji yake ya kibinadamu. Mambo haya ya kucheleweshwa kwa fedha yanachangia pakubwa malimbikizi ya madeni katika kaunti zetu."
}