GET /api/v0.1/hansard/entries/1476055/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476055,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476055/?format=api",
    "text_counter": 444,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Tukiangalia kimsingi, fedha zinazokwenda katika kaunti, hazipaswi kupunguzwa kwa namna yoyote. Serikali ya kuu iko na uwezo wa kukopa katika soko la hisa hapa nchini na vile vile nje. Lakini, kaunti zetu hazina fursa kama hiyo ya kukopa. Kukopa kunahitaji udhamini wa Serikali kuu. Udhamini huo hauwezi kupatikana kwa sababu Serikali kuu iko na madeni kupita kiasi. Imepitisha kiwango cha deni kiliyowekwa ya asilimia 55 ya pato la kitaifa."
}