GET /api/v0.1/hansard/entries/1476057/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476057,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476057/?format=api",
"text_counter": 446,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kwa hivyo, hii ni taswira mbovu kabisa. Serikali inatarajia shililingi trilioni 2.6 kwa sasa. Kwanza, ilikuwa inatarajia shilingi trilioni 2.9 lakini iliporekebishwa ikafika shilingi trilioni 2.6, ilhali zile accounts zinazotumika kwa mipango hii ni za 2020/2021 wakati ambapo mapato ya serikali ilikuwa shilingi trilioni 1.9."
}