GET /api/v0.1/hansard/entries/1476064/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476064,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476064/?format=api",
"text_counter": 453,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": ". Ikiwa hakuna fedha za kutosha zinazoenda katika miradi ya maendeleo ina maanisha kwamba hatutakuwa na miradi yoyote ya maendeleo ambayo itafanyika katika kaunti zetu. Hivyo basi, tutakuwa siku zote tunatumia pesa kwa mambo ya recurrentexpenditure kuliko kutumia kwa maendeleo katika kaunti zetu."
}