GET /api/v0.1/hansard/entries/1476133/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476133,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476133/?format=api",
    "text_counter": 46,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Speaker",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Naomba tufungie hapo. Kwa niamba ya Bunge lote, Mama Akida, tunakushukuru sana kwa heshima ambayo umeiletea nchi yetu. Endelea kuwasaidia wasichana wadogo nchini Kenya waweze kunawirisha talanta zao katika michezo, haswa soka. Ahsante sana."
}