GET /api/v0.1/hansard/entries/1476543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476543,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476543/?format=api",
"text_counter": 94,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "zetu lakini mara nyingi haijatengenezwa nchini. Hii ni kwa sababu sisi wenyewe tumewafinya wakulima wetu. Wakulima wanapanda miwa lakini wakati wa kuvuna wakipeleka kwa factory, hawapati faida. Nitatoa mfano kwa sababu nishawahi kupanda miwa. Ile gharama ambayo nilitumia kupanda miwa, wakati wa kuvuna, sikuelewa jinsi gani ile"
}