GET /api/v0.1/hansard/entries/1476617/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476617,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476617/?format=api",
"text_counter": 168,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
"speaker": null,
"content": "Ningependa kuomba Wabunge wenzangu tuhakikishe kwamba haturudi kule kwenye changamoto. Sisi tunakaa na Wakenya pale mashinani, tunawajua, tunawafahamu na tunajua changamoto zao, na ndiposa tunawapa hizi bursary . Hata tukisema tuziunganishe zote ziwekwe pale juu, hazitaweza kupelekwa katika shule zetu zote. Ukumbuke kwamba tuna shule za umma na za kibinafsi, lakini wanasoma watoto wetu kama Wakenya na viongozi. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}