GET /api/v0.1/hansard/entries/1476820/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476820,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476820/?format=api",
"text_counter": 142,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, ningependa kuchangia Mswada kuhusu pesa ambazo zitapelekwa kwa kaunti zetu 47. Langu ni kushukuru magavana ambao tulisikia wakitajwa katika orodha ya waliofanya kazi nzuri. Kufanya kazi vizuri ni njia ya kutuonyesha utendakazi bora ili kusaidia ugatuzi. Siungi mkono kupunguzwa kwa pesa ambazo kaunti zinafaa kupata. Mwaka uliopita, tulipitisha shilingi bilioni 385. Hata hivyo, magavana walikuwa wanataka shilingi bilioni 425. Tuliona kuwa tukiwapa zile pesa, hazitaweza kusaidia gatuzi zetu."
}