GET /api/v0.1/hansard/entries/1476823/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1476823,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476823/?format=api",
"text_counter": 145,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Spika wa Muda, mwaka wa kifedha uliopita, Kaunti ya Embu ilipata shilingi bilioni 5.2 kutoka kwa mgao wa kaunti wa shilingi bilioni 385. Hata hivyo, gavana na wawakilishi wa wadi, yaani MCAs, wanapoketi ili kupanga jinsi zile pesa zitakavyotumika, kunakuwa na shida kwa sababu gavana ambaye yuko sasa alipata"
}