GET /api/v0.1/hansard/entries/1476825/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476825,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476825/?format=api",
    "text_counter": 147,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "nyingi na wage bills kubwa. Hivi ndivyo zile hela zinavyofanya kazi. Utapata katika wage bill kila mwezi gavana analipa shilingi milioni 250 na county assembly wanalipa shilingi milioni 50. Hela zile zinabakia kidogo sana. Kwa hivyo, pesa hizi hazitoshi. Utapata kuwa katika kazi ya kaunti kama katika Kaunti Embu, inafaa kila shule ya msingi iwe na madarasa ya Early Childhood Development Education (ECDE) lakini utasikia hakuna pesa za kufanya kazi hiyo. Hela hizi zinafaa kuweka maji ya ukulima na ufugaji katika kaunti lakini hazitoshi. Pesa hizi zinafanya mambo mengi sana ila hazitoshi. Katika kaunti nyingi, haswa Kaunti ya Embu, pesa hizi zinafaa kushughulikia mambo ya hospitali kwa wananchi na wale watu ambao walituchagua, lakini pesa hizi ni kidogo na hazitoshi. Tunapompatia gavana pesa zile, anakuta pending bills ya shilingi bilioni 200. Kwa hivyo pesa hizi hazitoshi. Mimi ninaomba kuwa wale watu ambao tutawachagua kuenda kuongea kuhusu pesa hizo wawe na ushujaa wa kutetea kaunti zetu kwa sababu kaunti zetu zimeumia kwa muda mrefu. Magavana wengi wamejaribu kusaidia kaunti lakini tunawapatia hela kidogo. Kama vile ilivyopitishwa, shilingi bilioni 380 inakuwa ni kidogo na shilingi bilioni 5 chini ya zile tulikuwa tumewapea mwaka jana. Kaunti nyingi hazitafanya kazi nyingi vile inafaa. Ukiangali Serikali ya Kaunti ya Embu, katika miaka iliyopita, Gavana yule wa zamani alikuwa akikusanya zaiid ya milioni 400. Sasa hivi, serikali iliyoko imejaribu na kukusanya pesa shilingi milioni 750. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}