GET /api/v0.1/hansard/entries/1476828/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476828,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476828/?format=api",
    "text_counter": 150,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chimera",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bi. Spika wa Muda, kwa fursa hii ili niweze kupeana changizo langu katika Mswada huu. Ninaunga mkono Mswada huu lakini kwa masikitiko makubwa sana. Hii ni kwa sababu Bunge hili lilipata fursa hapo awali kupitisha zile fedha ambazo zinaenda katika kaunti zetu, ikiwemo kaunti yangu ya Kwale. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}