GET /api/v0.1/hansard/entries/1476903/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1476903,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1476903/?format=api",
    "text_counter": 225,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "kupenyea na kuanza kuwafinya wakulima. Ndio maana nataka kumshukuru Sen. Mariam Omar kwa sababu Mswada huu ukiwa sheria, itarekebisha shida tulizonazo kwenye sekta hii. Niruhusu niongee kuhusu vyama vya ushirika ambavyo vinahusika na ukuzaji na uuzaji wa kahawa nchini. Shida za wakulima wa kahawa zinafanana katika kila sehemu ya nchi ambapo kahawa inalimwa. Mkulima wa kahawa kutoka Kirinyaga, Tongaren, Mt. Elgon na kwingineko hupitia shida zinazofanana. Sheria ya marekembisho ambayo imeletwa na Sen. Mariam Omar itatibu shida hizi. Kaunti ya Kirinyaga kuna vyama vya ushirika vya Mutira na Kibirigwi ambavyo vilikuwa na mgomo na kubandua mwenyekiti wa chama. Iwapo mtu mmoja ataongoza chama, kama kuna jambo litafanywa, anahitaji mwanzilishi wa hoja ambaye anaitwa proposer na yule anayeunga mkono anaitwa"
}