GET /api/v0.1/hansard/entries/1477065/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1477065,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477065/?format=api",
    "text_counter": 135,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Mhe. Spika, haya mambo yanayoongelewa hapa si ya kweli. Dadangu Mhe. Muthoni amekuja hapa Bungeni kwa sababu hatujahusishwa. Hakuna kiongozi yeyote aliyeitwa, wala hakuna aliyepinga. Asiseme eti political leaders . Mimi sijawahi kuitwa, wala Mhe. Muthama au Mhe. Muthoni. Hao viongozi wengine ni akina nani, ilhali Kaunti ya Lamu iko na Constituency mbili na Women Representative mmoja peke yake? Hatujawahi kuitwa. Huo ni uongo. Jambo la pili ni kuwa kuna kigezo hapo…"
}