GET /api/v0.1/hansard/entries/1477072/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1477072,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477072/?format=api",
    "text_counter": 142,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": ". Hakuna utovu wa usalama Lamu. Tunaishi na kuenda popote tunapotaka. Hapo Hindi, watu ni wengi na miradi pia ni mingi, kama vile LAPSSET. Utovu wa usalama unatokea wapi sasa? Wamekosa kusema ukweli, na badala yake kutumia kigezo cha utovu wa usalama. Ardhi, sijui kama ni hii ya Swahili Scheme, kwa sababu imeleta utata. Kila gavana akiingia analeta sheria zake, na mambo yasipoenda, anasonga hapo hapo; lakini sio kwamba ni Memberof Parliament au political leaders . Ningeomba huyo Waziri aje ajibu au nilitengeneze swali hili kivingine. Niambieni ni vipi nitafanya. Kwa sasa ni kama tu kumgombeza Mwenyekiti bure, naye hajui mambo yameenda vipi huko. Yeye amepewa jibu, na ni lazima alisome hivyo. Ahsante."
}