GET /api/v0.1/hansard/entries/1477106/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1477106,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477106/?format=api",
    "text_counter": 176,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika, ninataka kumwambia Mhe. Pukose kwamba hii damu ikitoka kwenye uzazi, hua inatambaa inaenda mpaka kwenye mapafu. Sio hiyo ya beauty ambayo unazungumzia, ati ya wanawake kufanya urembo. Haya ni mambo ambayo ni serious . Uliza mke wako, atakuambia hiyo ni kitu gani. Hiyo damu hutoka ikaingia mpaka kwenye mbavu, ndio ambayo ilimuua yule msichana. Inaleta maradhi mengine huko. Sisi tukitaka cosmetic, hata mimi ninaenda nipunguze huu mwili, niwe safi. Lakini huu ni ugonjwa ambao tunahitaji madaktari ndani ya hili Taifa waweze kumaliza."
}