GET /api/v0.1/hansard/entries/1477126/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1477126,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477126/?format=api",
"text_counter": 196,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mhe. Spika, huyu ni surgeon, na yaeza kua sio gynaecologist, na yeye hana uterus na hapati hedhi. Mke wake ndio anayepata hedhi, na kuna uwezekano mkubwa kua kwa familia yake hajapata matatizo kama haya. Hii kitu daktari ni serious, watoto kuanzia miaka kumi na tatu wanaumwa tumbo. Ilikua mimi nikiumwa ninatambaa. Wewe unaniambia yule mtoto maskini atapata wapi pesa za cosmetics ? Tafuteni madaktari wasaidie Wakenya hapa. Mambo ya kuchangia watu kwenda inje kutafuta matibabu ni makosa. Na tuko na Waziri wa kike aliyeingia; Waziri ngangari. Nenda ukae naye chini awape mambo ya uhakika mlete Bungeni, sio mambo ya google . Hapa tunazungumzia maswala ya maisha ya wanadamu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}