GET /api/v0.1/hansard/entries/1477355/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1477355,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477355/?format=api",
"text_counter": 40,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, mwisho, ningependa kuwaambia hawa ndugu zetu ambao wametoka Bara nzima la Afrika, karibuni sana katika Bunge letu la Seneti. Najua mkifika nyumbani, mtawajulisha ndugu zetu vile mmeona kazi ikiendelea katika Seneti ya Kenya. Karibuni Kenya, ni nchi iko huru. Mnaweza kuzunguka mpaka saa kumi au saa tisa. Kuna mahali kwingi pa kwenda hapa Nairobi. Nairobi ni kwenu. Jisikieni kabisa kwamba mkiwa Kenya, ni kama mko nyumbani katika nchi zenu tofauti tofauti za Afrika. Asante, Bw. Spika."
}