GET /api/v0.1/hansard/entries/1477413/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1477413,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477413/?format=api",
    "text_counter": 98,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kibwana",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 277,
        "legal_name": "Kibwana Kivutha",
        "slug": "kibwana-kivutha"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika. Nachukua nafasi hii kama upande wa kina mama wa Kenya Women Senators Association (KEWOSA) kujivunia mrembo wetu. Karibu sana na asante kwa kututembelea. Tumepata sifa zako na tunakupa kongole kwa kupeperusha bendera ya Kenya. Tunakuombea mema na utuwakilishe vilivyo. Tunakusifu kwa kuja kushika wenzako mkono na kuwasaidia kufika mahali upo. Sio watu wengi hupenda kufanya vile ili wenzake wasimfikie. Tunakushukuru sana kwa kurudi nyumbani ili wao pia wapate ambacho umepata. Tunakusihi ukiwa kule ujivunie kuwa Mkenya. Tuwakilishe vilivyo. Weka sifa zetu na zako kama msichana mbele. Usihadaishwe na wengine. Fikra na malengo yako yawe mazuri. Usikubali kuhadaishwa na kitu chochote. Tunakusifu. Asante kwa kututembelea. Shukran."
}