GET /api/v0.1/hansard/entries/1477518/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1477518,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477518/?format=api",
"text_counter": 203,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Huenda tunalaumu madaktari, magavana ama mawaziri wa afya wa kaunti. Lakini inafaa tuangalie Serikali kuu na vile inavyogawa pesa mashinani. Kuna wale wanalojukumu la kuangalia dawa ambazo zimeharibika. Miezi miwili iliyopita, Kaunti ya Embu kulikuwa na dawa zilizoharibika tangu mwaka wa 2013 mpaka mwaka wa 2021. Ilibidi dawa zimefanyiwa uchunguzi ndipo zipitishwe. Ningeomba Serikali kuu, hasa upande wa National Treasury, kwamba dawa hizi zikipatikana ziwekwe kwa moto kwa sababu zimeharibika. Ndiposa watu wakisikia hakuna dawa, wanajua kweli hakuna dawa. Kumekuwa na vita kwenye kaunti baina ya watu kuhusu kuwepo kwa dawa. Dawa zilizoko kwenye kaunti ni mbaya."
}