GET /api/v0.1/hansard/entries/1477520/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1477520,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477520/?format=api",
    "text_counter": 205,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "iangalie kaunti ziko namna gani. Kaunti zote ziko na shida. Hii ni kwa sababu magavana hawana pesa za kuleta dawa. Pia National Treasury iangaliwe vizuri ndio iweze kupeleka pesa mashinani mapema. Mwaka huu, mwezi wa saba na nane, kaunti zetu hazijapata hela za kununua dawa na kugharamia miradi mingine. Magavana wako na shida na wananchi wanalia. Ningeomba wale ambao watafanya uchunguzi, wakienda kuangalia masuala ya kaunti, waanzie National Treasury wajue pesa inafika mashinani lini. Tuko hapa kutetea ugatuzi. Kaunti ya Embu kuna subcounty nne. Zina shida nyingi kwa sababa hazina pesa za kununulia dawa. Ningeomba Serikali kuu iachilie pesa ndipo hospitali zote zipate dawa. Naunga mkono."
}