GET /api/v0.1/hansard/entries/1477748/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1477748,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477748/?format=api",
"text_counter": 93,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Vile vile, ile sehemu inatumika vibaya kwa sababu Serikali haizingatii kuweka usalama katika lile shamba kwa sababu shamba ni kubwa na wamelemewa kufanya kazi wanayopaswa kufanya. Pia, kuna wanyama wa mwituni kama ndovu wanaoishi pale na wanavamia mashamba ya wakulima kila wakati. Bw. Spika, badala ya haya mashamba ya ADC kuwa na faida, yanakua donda sugu na yanaendelea kuwasumbua wananchi. Ningependekeza kwa Kamati inayohusika iweze kuzingatia na iseme kwamba, ikiwa Serikali imeshindwa kuilinda lile shamba, igawanye hayo mashamba kwa wananchi, ili wayatumie kwa hali ambayo inafaa kutumiwa."
}