GET /api/v0.1/hansard/entries/1477875/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1477875,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477875/?format=api",
    "text_counter": 220,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Nikiwa hapa nimesikia ukisema kwamba umekasirika kwa sababu rafiki yako ametemwa. Hata kama itarudiwa, huyo mtu hafai. Ni lazima tuangalie kazi yake ndio apatiwe nafasi. Je, inafaa tufuate applications za kwanza au za pili? Application ya kwanza ilikuwa na dosari. Tumesikia ukisema application ya pili ndio ilifuatwa. Bw. Spika wa Muda, napinga mambo ya Sen. Chute. Asante."
}