GET /api/v0.1/hansard/entries/1477933/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1477933,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477933/?format=api",
    "text_counter": 278,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Nimemsikia Sen. Cherarkey akisema kuwa yeye ni wakili mkuu. Lakini, mimi nakumbuka tukiwa Bunge hili mwaka wa 2020 au 2021 ndio Sen. Cherarkey aliapishwa rasmi kama wakili wa Mahakama Kuu ya Kenya. Je, inawezekana wakili wa miaka mitatu ajiite wakili mkuu wakati hapa katika Bunge hili tuna mawakili ambao wana vyeo vya senior counsel wakiongozwa na Sen. Omogeni na Sen. (Rtd.) Justice Madzayo wakati sisi tulikuwa hapa na tukaona Sen. Cherarkey akiapishwa? Sisi ndio tulimpeleka Mahakama Kuu kwenda kuapishwa. Asante, Bw. Spika wa Muda."
}