GET /api/v0.1/hansard/entries/1477944/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1477944,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1477944/?format=api",
"text_counter": 289,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Naunga mkono kuteuliwa kwa Mr. David Kemei kwa cheo cha Director General. Kulingana na vile tunajua nafasi ya kazi ikitokea, kamati husika huketi kuchambua stakabadhi na kutangaza kazi ili watu wanapeleka stakabadhi zao. Seneta mwingine hapa alinena kuwa suala hili lilikuwa limetangazwa mara ya kwanza na ya pili. Hapo ndipo wahusika walipeleka stakabadhi zao kwa kamati na wakaona kuwa Mr. David Kemei alifaa kuwa director general aliyetimiza masharti ya kazi hii. Kulingana na stakabadhi za Bw. David Kemei, tumeona shule na university aliposomea. Hata alisoma kule Washington DC, USA. Ina maana kuwa katika kuchambua stakabadhi zake, waliona kuwa amesoma vizuri. Amekuwa mtendaji wa kazi kwa miaka 30. Alikuwa Director wa Kenya Reinsurance Corporation (Kenya Re) ambapo alifanya kazi nzuri. Kuna Maseneta ambao wamefanya kazi pamoja na yeye. Pia, alifanya kazi Egerton University, Kabarak University, Kenyatta University na pia School of Monetary Studies. Pia, imeelezwa kuwa amefanya kazi na Energy Regulation Commission kwa idara ambayo ilikuwa inashughulikia mambo ya Kenya Power and Lighting Company (KPLC), Kenya Electricity Generating Company (KenGen) na oil. Niliskia jina lake nilipokuwa nafanya kazi pale KenGen. Alilainisha sekta ya kawi. Naunga mkono kuteuliwa kwake kwa sababu amefanya kazi kwa miaka mingi na akapata ujuzi. Pia, kazi yake ilikuwa mzuri pale Merchant Insurance. Angekuwa ameanza The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate."
}