GET /api/v0.1/hansard/entries/1478839/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1478839,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1478839/?format=api",
"text_counter": 174,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tigania East, NOPEU",
"speaker_title": "Hon. Mpuru Aburi",
"speaker": null,
"content": "Kwa mfano, katika makavazi ya Jimbo la Meru, utapatana tu nyoka na kobe ilhali, wanyama hao hawatakikani nchini. Zamani kulikuwa na gari tuliloita telebuka . Hilo gari lilikuwa la miguu minne na liliundwa kwa miti. Nikiwaeleza vijana wetu kwamba kulikuwa na gari kama hilo, hawawezi wakaelewa. Naunga mkono uundaji huu wa makavazi ya kisayansi ili wakati utakapofika, watoto wetu wasituulize tulikuwa viongozi ilhali tuliachilia utamaduni wetu upotee. Ndiposa nawaambia watu wetu waweke magari yao kando na watumie vioo vyapembeni kuangalia nyuma ili waangalie mahali wametoka na wajue, kuna watu wamewaachanyuma. Ninamuunga mkono, Mhe. John Kiarie. Ahsante."
}