GET /api/v0.1/hansard/entries/1479246/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1479246,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1479246/?format=api",
"text_counter": 397,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "wasitoe mazungumzo yangu hewani kwa maana tumeingia Bungeni kuzungumza. Watu wetu wanaangalia. Nachukua fursa hii kumshukuru na kumpongeza ndugu yetu, Bwana David Kemei, kwa kuteuliwa katika halmashauri hiyo. David Kemei ni mtu mwenye mjitama wa kueleweka. Pia ako katika hadhi ambayo inatakiwa katika halmashauri hiyo. Nampigia upato ndugu yangu, Mhe. Bady, vile alivyosema kuwa halmashauri nyingi zina uzoefu wa mtu mmoja kutaka kufanya biashara peke yake, yaani monopoly ."
}