GET /api/v0.1/hansard/entries/1479249/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1479249,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1479249/?format=api",
    "text_counter": 400,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Mtu mmoja anataka kufanya biashara peke yake. Kwa mfano, Grain Bulk Handlers Limited kule Mombasa. Kuna wenzetu ambao wana uwezo wa kufanya biashara hiyo, lakini mtu mmoja ameikatalia. Yeye tu ndiye anafanya hiyo biashara. Wenzake wamepewa nafasi ya kufanya kazi lakini anaenda kortini kusimamisha shughuli zao. Kwa hivyo, tunajua ndugu yetu David Kemei anaweza kuinyoosha na mambo yawe sawa. Katika Halmashauri ya Stima, kuna mambo mengi ambayo yanaendelea. Akitoa mwanya, tutapata watu wengine ambao wanaweza kufanya hizi shughuli na mambo ya stima yataenda vizuri. Nachukua fursa hii kumwambia ndugu yangu, Mhe. Bady, pole sana kwa kumpoteza"
}