GET /api/v0.1/hansard/entries/1479262/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1479262,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1479262/?format=api",
    "text_counter": 413,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika. Naomba nimweleze Mhe. Owen Baya ajue kuweka matusi na maneno kando. Nimesema anafanya kazi nzuri lakini atoe mwanya wa wenzake pia waweze kufanya biashara ile ile. Isiwe ni mtu mmoja tu. Kwa hivyo, hatujamtusi. Usiweke fitina. Katika Bunge hili, tunataka mgao wa taifa uelekee kwa Wakenya wote. Mhe. Baya, mimi ni Mpwani kama wewe na unajua bandari ni yetu sisi sote. Lazima tuweke Wakenya wote wapate matunda ndani ya bandari. Ahsante sana, Mhe. Spika."
}