GET /api/v0.1/hansard/entries/1479297/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1479297,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1479297/?format=api",
    "text_counter": 448,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohamed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika, nina swali. Mbona aje saa kumi na moja mpaka saa mbili? Naona muda utakua umekwenda sana na tutakua na wasiwasi. Wajua, giza ina siri zake. Kwa hiyo, sijui mbona asije mapema tuimalize kwa mwangaza."
}