GET /api/v0.1/hansard/entries/1479865/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1479865,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1479865/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "niwe friend of that Committee . Tunajua majina yao. Katika eneo bunge langu, ukimuuliza mtoto akupeleke kwa yule anayeuza mihadarati, ataweza kukuonyesha. Sitataja majina yao kwa sababu nitajipata kwa shida tena. Yale yaliyonipata yalinifanya nikaogopa. Utaona mtoto ameumia na anatoa usaha lakini ukimpa Ksh200, anaenda kununua mihadarati badala ya aende hospitalini. Hilo tatizo linatuathiri sana. Tukiliacha liendelee zaidi, litatuathiri zaidi. Angalau mmeanza kuongea kuhusu sehemu nyingine lakini sehemu ya Coast The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}