GET /api/v0.1/hansard/entries/1480401/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1480401,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1480401/?format=api",
    "text_counter": 56,
    "type": "scene",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "“Haiwezekani mtu ambaye alikua anakupigia kelele ukichunga hii ng’ombe, na kusemahii ng’ombe ni ile ya kienyeji hakuna haja ya kushugulika naye, hii ng’ombe ni burehaiwezi kutoa maziwa, hii ng’ombe hata ikipona jicho moja, wachana nayo unapotezawakati, saa ile ng’ombe imezaa imetoa maziwa, amekuja na kikombe, amekuja na sufuria,anataka atolewe maziwa. Mimi nikasema hiyo haiwezekani. Nikasema yule mwenye hiing’ombe na kuichunga na kuitunza, kwanza akamue maziwa, yeye na watoto wakewakunywe, ile itabaki aitie majirani. Hata yule alikuwa anapiga kelele akisema hiing’ombe ni bure na haiwezekani, kama kunayo imebaki pia apewe, kama hakuna imebakiatembee. Si hiyo namna hiyo?”"
}