GET /api/v0.1/hansard/entries/1480616/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1480616,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1480616/?format=api",
    "text_counter": 271,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
    "speaker": null,
    "content": "Katika huo utovu wa nidhamu, alinunua shamba ambalo akina mama walikuwa wamelima mahindi, viazi, na maharagwe ya kifaransa huko Nyandarua. Aliweka Member ofthe County Assembly (MCA ) huko na wakavunja na kuvuruga chakula chote. Kama ana hekima kama kiongozi, angewacha mimea ikue, watu wavune halafu achukue shamba hilo. Hana ubinadamu, nidhamu, na hafikirii Wakenya yeye kama Naibu wa Rais."
}