GET /api/v0.1/hansard/entries/1480617/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1480617,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1480617/?format=api",
"text_counter": 272,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
"speaker": null,
"content": "Sababu nyingine ni kukosa ufanisi. Kwa Kiingereza ni incompetence . Alikosa ufanisi kwa sababu alisema anapigana na pombe haramu na dawa za kulevya. Alipoenda Pwani, kazi aliyofanya kubwa ni kutukana viongozi na kusema anajua wanaouza mihadarati, na atawataja na kuwashika. Aliwataja? Aliwashika? Mihadarati iko ama hakuna?"
}