GET /api/v0.1/hansard/entries/1480620/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1480620,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1480620/?format=api",
"text_counter": 275,
"type": "speech",
"speaker_name": "Likoni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
"speaker": null,
"content": "Pia, Naibu wa Rais amedhulumu bibi wawili wa marehemu ndugu yake aliyekuwa Gavana wa Nyeri. Utapatiwa flat kumi aje na wao wapewe tano, na ni wawili na wana watoto? Jamani, ni sheria gani hiyo? Tunayo ile sheria ya Kiingereza…."
}