GET /api/v0.1/hansard/entries/1480993/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1480993,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1480993/?format=api",
    "text_counter": 226,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Naunga mkono Mswada wa marekebisho ya Sheria za Uchaguzi uliowasilishwa na Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni, Sen. Cheruiyot. Ni kauli mbiu yangu kwamba maswala yanayohusiana na uchaguzi yafanyiwe marekebisho mara kwa mara ili kuwiana na mabadiliko ya kiteknolojia. Katika vituo vingi vya uchaguzi, huwa kuna shida. Hivyo basi, naomba Tume ya"
}