GET /api/v0.1/hansard/entries/1482188/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1482188,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482188/?format=api",
"text_counter": 30,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "“A Government is like a company, there is shareholding. Kuna wale who have investeda lot of shares, kuna wale wameweka kidogo, kuna wale wamekataa, lakini wote niwakenya. So ndio tukasema, kama wewe umeenda kupanda mahindi, ama wacha nipeaneexample ya ng’ombe kwasababu niko Kajiado. Wewe uko na ng’ombe yako ya maziwa,hio ng’ombe imezaliwa ikiwa njaù umeichunga vizuri, umepatia majani, umenunuliadairy meal, umepatia chumvi, umepeleka kwa malisho, umepatia maji, imezaa, imeanzakukamuliwa. Wewe unatakiwa kwanza ukuwe mutu ya kwanza kukamua hiyo ng’ombe nakunywa maziwa.”"
}