GET /api/v0.1/hansard/entries/1482194/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1482194,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482194/?format=api",
    "text_counter": 36,
    "type": "scene",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "“Sisi lazima tungeangalia nyinyi. Hii serikali ni kampuni na ni ya shares. Sindio? Ni yashares. Kuna wenye kampuni, wale wako na shares mingi, wale wako na chache. Kunawale hawana. Sasa nyinyi muli invest kwa hii kampuni ya William Ruto na RigathiGachagua; sasa lazima mvune. Yule ambaye alipanda, atafanya nini? Si mulipanda? Simuliamuka mapema?”"
}