GET /api/v0.1/hansard/entries/1482196/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1482196,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482196/?format=api",
"text_counter": 38,
"type": "scene",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "“Rais ako pale niko hapo. Huyu Felix ako hapo….Mimi mnanijua msimamo wangu. Yakwamba watoto wakiwa wengi, kuna wale kwanza ya kuangaliwa. Si mnajua? Sasa huyuFelix ako pale, ndie kuunganisha mawaya. Mambo yenu tumepanga. Mambo iko sawa.Chakula iko jikoni, karibu kuiva. Watoto ni wengi, chakula ni kidogo. Iko watoto yanyumbani, iko wa jirani. Iko namna hio. Na nyinyi mtulie. Chakula ikiiva, sisi ndio wenyekupakua. Na watoto tunawajua kwa sura na kwa msimamo. Hatuwezi kuwa confused.Kuna mtu hajui Watoto wake? Na wiki inakuja, tutatangaza hatua kali ile tutachukua, naile maneno tumepanga….”"
}