GET /api/v0.1/hansard/entries/1482318/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1482318,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482318/?format=api",
"text_counter": 160,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii nami nichangie mada ya leo ya kumng’oa mamlakani Naibu wa Rais. Naibu wa Rais amekuwa akizunguka Kenya nzima akizungumza, na nimekuwa nikijiuliza kama amesahau kumeza dawa zake au kuna shida gani. Amekuwa akizunguka kila mahali akizungumzia mambo ya ukabila na shares . Mombasa Kaunti ilikuwa namba moja katika ukusanyanaji wa ushuru lakini Naibu wa Rais akizungumza anataja tu mambo ya mlima na shares . Mhe. Spika, ukiona Naibu wa Rais akimkosea Rais mbele ya wananchi…"
}