GET /api/v0.1/hansard/entries/1482337/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1482337,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482337/?format=api",
    "text_counter": 179,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Mhe. Spika, unajua ndio makosa ya kupatia mabubu kuzungumza. Mimi nimesema huenda ikawa Naibu wa Rais amesahau lakini sijasema amesahau. Nilifikiria nilikisia. Kiongozi kama huyu anajua makabila yote. Tunakaa kwa amani, Kenya. Tumeoana na tunaelewana. Anataka kuturejesha kwa makabila kama vile tulivyokuwa na mambo ya Kaya Bombo na baada ya uchaguzi wa 2007/2008. Watu walipoteza maisha yao kwa sababu ya ukabila. Mimi nakaa nikishangaa. Mhe. Naibu wa Rais alikuja Mombasa na akasimama juu ya gari akitafuna ndizi na mahindi choma. Kwanza, alitupa takataka pale alikuwa. Hakujua kuwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}