GET /api/v0.1/hansard/entries/1482354/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1482354,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482354/?format=api",
    "text_counter": 196,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": ". Hata kama Mhe. Mutuse alikuwa akifanya kazi kwa kaunti, ni Mbunge na ameleta Motion hapa. Nataka nimweleze Mbunge kuwa watu wanasema kufa kondakta kufa dereva. Huyu kondakta amepora maabiria wote. Hawana chochote. Kwa hivyo, aende tu nyumbani."
}