GET /api/v0.1/hansard/entries/1482438/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1482438,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482438/?format=api",
"text_counter": 280,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi South, ODM",
"speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
"speaker": null,
"content": " Asante, Mhe. Spika, kwa nafasi hii ya kuchangia Mswada huu ulioko mbele ya Bunge. Mimi sijaokoka, na nimesikia wenzangu kila wakichangia hapa, wanataja sehemu fulani za Bibilia ambazo zinaambatana na matamshi ambayo nataka kuyazungumzia. Kweli kuna Mbinguni na kuna hela. Nafikiria Rigathi Gachagua atakuwa kuni za kuchoma wale ambao watachomwa."
}