GET /api/v0.1/hansard/entries/1482441/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1482441,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482441/?format=api",
    "text_counter": 283,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": null,
    "content": "Pili, Deputy President alisema kwamba ile barabara inafaidi watu wengi sana ambao wanaishi maeneo yale. Akataja kwamba kuna Shule ya Upili ya Shariani. Mimi najua mahali shule hii ipo, wala haifaidiki na ile barabara. Akataja kuhusu Shule ya Msingi ya Shariani. Ukitaka ku access shule hiyo, unaipata kwa njia panda ya kutoka Mtwapa kuelekea Kilifi na Malindi. Kusema ukweli, yale aliyokuwa anazungumza ni ya uwongo."
}