GET /api/v0.1/hansard/entries/1482442/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1482442,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482442/?format=api",
    "text_counter": 284,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": null,
    "content": "Tatu, ile nyumba ambayo ilikuwa ni ya ndugu yake, sisi tuliijua kutoka zamani. Na ukweli kama utafuatwa, basi itabainika wazi kwamba Bwana Deputy President either aliinunua kutoka kwa ndugu yake, ama amemuibia ndugu yake. Ni jambo la kuhuzunisha. Anasema kuwa marehemu Nderitu Gachagua aliumuachia asilimia kubwa kuliko watoto wake marehemu. Kama sio uongo basi ni kama anasherehekea kifo cha ndugu yake. Mwanadamu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}