GET /api/v0.1/hansard/entries/1482443/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1482443,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482443/?format=api",
    "text_counter": 285,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi South, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ken Chonga",
    "speaker": null,
    "content": "yupi mwenye akili timamu atamuachia urithi wa asilimia kubwa ndugu yake kuliko watoto, bibi na binamu? Sijawahi kumuunga mkono kwa lolote, na ninajua Nyumba hii iko na hisia tofauti kulingana na maswala ya Naibu wa Rais. Tulipofanya kura ya maoni pale Kilifi Kusini, asili tisini na tano…"
}