GET /api/v0.1/hansard/entries/1482445/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1482445,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482445/?format=api",
"text_counter": 287,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kilifi South, ODM",
"speaker_title": "Hon. Ken. Chonga",
"speaker": null,
"content": " Asiseme kuwa alichaguliwa na watu takriban milioni saba. Ukweli wa mambo ni kuwa kama Wabunge, tunawakilisha watu waliotuchagua. Kwa hivyo, asiseme ya kwamba hatuna uwezo wa kutoa amri au mamlaka ya yeye kung’atuliwa mamlakani. Wakati umefika. Mungu akitaka kukumaliza, yeye hukutia kichaa. Sijasema kuwa Naibu wa Rais yuko na kichaa, lakini iwapo hatachunga matamshi yake, basi tutamshuku kuwa mwenye akili pungufu. Asante."
}