GET /api/v0.1/hansard/entries/1482455/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1482455,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482455/?format=api",
"text_counter": 297,
"type": "speech",
"speaker_name": "Tigania East, NOPEU",
"speaker_title": "Hon. Mpuru Aburi",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mheshimiwa Spika, kwa kunipatia nafasi hii. Yangu ni machache sana. Tunamtaka Naibu wa Rais ambaye si mkabila kwa sababu nchi yetu ya Kenya ni kubwa sana kushinda mtu mmoja."
}