GET /api/v0.1/hansard/entries/1482456/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1482456,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1482456/?format=api",
    "text_counter": 298,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Tigania East, NOPEU",
    "speaker_title": "Hon. Mpuru Aburi",
    "speaker": null,
    "content": "Tukiongea kuhusu mambo ya mlima, kwangu Tigania East tuko katikati ya mlima. Lakini ukiangalia haya mashtaka, zile companies zote ziko hapa ni za Gachagua, bibi yake na watoto wake. Hakuna Mtigania, Muigembe, Muimenti, ama Mluhya. That means alikuwa anatetea tumbo yake. Ningependa kusema kuwa sisi hatubembelezani. Lazima aende nyumbani kwa sababu amekataa kuangalia mambo ya wananchi wa Kenya, na Kenya ni kubwa."
}